We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...

Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.

Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.

Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..
 
Siku ingine kuwa tayari na peni na karatasi, unaandika na kutafuta mwanya wa kumpa. Wanaume huwa hawapayuki ovyo kama wanawake

Mwambie na wewe ulivaa nini.
hata nguvu hiyo sikuwa nayo nilibaki tu namtolea macho, afu ana aibu fulani amazing.. ameifanya asubuhi yangu iwe ya baraka..
akija tu piiem ntampa kapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…