Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mimi hapa ila tuma picha yako kwanza nikukumbuke na mimijamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...
ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati,
ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.
tulikua wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili... imefika Gerezani saa 08:52.
please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona....
Samahani kwa kuchelewa mkuu.siyo kwa ule mbanano wa mwendokasi,
ningeanzaje sasa.