We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

Hakika lishukuliwe basi la mwendokasi limeufanya moyo wako umdondokee kijana wa watu ambae mawazo yake yapo kwa gelufurendi wake
 
daah! kumbe uliniona..! usipate shida na huyo dada...huyo dada ni mtoto wa baba mkubwa,..nilikuwa namsindikiza....ngoja nije pm labda nikapata ubarikio
 
jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...
ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati,
ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.
tulikua wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili... imefika Gerezani saa 08:52.
please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona....
Ni mimi hapa ila tuma picha yako kwanza nikukumbuke na mimi
 
1472665066731.jpg
 
Back
Top Bottom