BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Wazuri ndio wapi hao,warefu na watanashati Kama Idrisa,au wenye mkwanja Kama Mond,au boss watoto Kama Makonda,au wenye six parts Kama vijana wa gym,tujukisheni jamani!!!najua maumivu unayopitia
yaani acha kabisa umenikumbusha mbali kabisa kuna wakaka wazuri mjini hapa?
halafu wakaka watamu utabaki nao kwenye akili na ndoto tu
life is not fair at all
Upate majibuThen?
Mwe!Wanaume wanaotamaniwa na wanawake 90% ni maanisi
Kweli ndio mana unanyege zisizo ishaJamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...
Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.
Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.
Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..
Kashapima. Damu yangu na yake zinafanana.Upate majibu
Kulee kwenyee jukwaa pendwaa...siumesema umeunganishwa grill ya taifa jamaniiJamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...