We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

najua maumivu unayopitia
yaani acha kabisa umenikumbusha mbali kabisa kuna wakaka wazuri mjini hapa?
halafu wakaka watamu utabaki nao kwenye akili na ndoto tu
life is not fair at all
Wazuri ndio wapi hao,warefu na watanashati Kama Idrisa,au wenye mkwanja Kama Mond,au boss watoto Kama Makonda,au wenye six parts Kama vijana wa gym,tujukisheni jamani!!!
 
Umeshatengeneza image kichwani mwako kajamaa kanachakata papuchi yako mpaka inapukutika kama vumbi
 
Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...

Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.

Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.

Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..
Kweli ndio mana unanyege zisizo isha
 
Kulee kwenyee jukwaa pendwaa...siumesema umeunganishwa grill ya taifa jamanii
 
Back
Top Bottom