si ndo hapo pacha... mi sasa nalazimisha! mwenye uzi kakimbia, akirudi tu anakuta nina shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega !!
ngoja nizame google fasta...!!
Hahahaaa..! Pacha uharamia huo kwa kamoyo kake!
sasa utampendaje mtu kwa shati baana!
unaonaje hili pacha? niliweke fasta kabla hajaja?
Mmmh! Amesema ni la blue na lina misatri ya rangi nyekundu na nyeupe pacha..hilo naona ni draft
dah! ngoja ni-review avatar zoooote nilizowahi kuweka!
eti a.rahabu, ushawahi kuniona na hilo shati mama?
hizi bahati sasa inabidi tuzilazimishe tu zisiende bure....
Excel umevua wap na mbona hilo ua ni la kijani bora lingekua hata jekundu
hivi ulishajua kutongoza mkuu?mmmmm kuna harufu ile mbaya ngoja nisepe cjui kuna mtu kajamb* humu nitarudi ngoja harufu iishe kwanza
wadau wana mmu damu nifundisheni maswaga ya kumpata girl bila ya kuniwekea kikwazo chochote yaan sio siri mi sina mavoko natoboka sana mfukoni
hata usijali Excel mbona hata mapigo yangu ya moyo hayaendi kwa spidi ile ambayo nikimuona inakua
hivi ulishajua kutongoza mkuu?
hizi kauli zako ndio zinakukosesha dem!! umeandika nini sasa hiki hapa?
ah!kudaakuda wallahi!mi mwenye avata ya shoe shine c ndo ntalala doro ayayayayaaaaa.kuna wengine humu wana avatar kama zimeungua hiivi! jamani muwe mna-update avatar qudadeki!