We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

si ndo hapo pacha... mi sasa nalazimisha! mwenye uzi kakimbia, akirudi tu anakuta nina shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega !!

ngoja nizame google fasta...!!

Hahahaaa..! Pacha uharamia huo kwa kamoyo kake!
 
sasa utampendaje mtu kwa shati baana!

unaonaje hili pacha? niliweke fasta kabla hajaja?

Mmmh! Amesema ni la blue na lina misatri ya rangi nyekundu na nyeupe pacha..hilo naona ni draft
 
Mmmh! Amesema ni la blue na lina misatri ya rangi nyekundu na nyeupe pacha..hilo naona ni draft

mapenzi si upofu bana!! akija nampiga fix za maana namwambia nimevua..! si unajua tena mvua za hapa na kule juu! lolz!

mapenzi bana...
 
dah! ngoja ni-review avatar zoooote nilizowahi kuweka!

eti a.rahabu, ushawahi kuniona na hilo shati mama?

hizi bahati sasa inabidi tuzilazimishe tu zisiende bure....

Wacha nichonganishe kidogo... Lol

Maana mapaparazi zetu kuona mmegombana tupate cha kuandika..

CC;jirani miss neddy
 
Last edited by a moderator:
utafiti bado haujaniinspire hebu jichunguze hivi hio ni ile niliosema kweli
 
Last edited by a moderator:
Excel umevua wap na mbona hilo ua ni la kijani bora lingekua hata jekundu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha chachuOmbala usijisumbue.
 
Last edited by a moderator:
mmmmm kuna harufu ile mbaya ngoja nisepe cjui kuna mtu kajamb* humu nitarudi ngoja harufu iishe kwanza
 
Excel umevua wap na mbona hilo ua ni la kijani bora lingekua hata jekundu

mm ndo huwa natumia bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega!!!

sasa kwa hali ya mvua za hapa na pale, nikabadilisha bana!!!

we niangalie vizuri utanitambua kwa mbaaaaaali!
 
Ooo jaman inamana yuko bize sana hata kupitia mitaa hii.daaa
 
mmmmm kuna harufu ile mbaya ngoja nisepe cjui kuna mtu kajamb* humu nitarudi ngoja harufu iishe kwanza
hivi ulishajua kutongoza mkuu?
wadau wana mmu damu nifundisheni maswaga ya kumpata girl bila ya kuniwekea kikwazo chochote yaan sio siri mi sina mavoko natoboka sana mfukoni

hizi kauli zako ndio zinakukosesha dem!! umeandika nini sasa hiki hapa?
 
hata usijali Excel mbona hata mapigo yangu ya moyo hayaendi kwa spidi ile ambayo nikimuona inakua
 
Last edited by a moderator:
hivi ulishajua kutongoza mkuu?


hizi kauli zako ndio zinakukosesha dem!! umeandika nini sasa hiki hapa?

aiseee nimejitahidi kidogo lakini kigugumizi kimechukua nafasi katika maongezi
 
kuna wengine humu wana avatar kama zimeungua hiivi! jamani muwe mna-update avatar qudadeki!
ah!kudaakuda wallahi!mi mwenye avata ya shoe shine c ndo ntalala doro ayayayayaaaaa.
 
Back
Top Bottom