Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
ah!kudaakuda wallahi!mi mwenye avata ya shoe shine c ndo ntalala doro ayayayayaaaaa.
aiseee nimejitahidi kidogo lakini kigugumizi kimechukua nafasi katika maongezi
Jaman natumai wazima kuna mkaka kila nikiingia jf lazima nitamani japo kumuona kwenye avatar yake amevaa shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega.sijui kwanini jamani
he he he sema nina kumbukumbu nzuri bana!!!sijakremu lakini unacomment vitu vya maana so nina kumbukumbu nawe great thinker!mimi49 umekremu hadi shati langu...
Kweli we nouma...
he he he sema nina kumbukumbu nzuri bana!!!sijakremu lakini unacomment vitu vya maana so nina kumbukumbu nawe great thinker!
Hapo sasa.. ndo maana nimekuja kimachale machale. ..
Tufanye kakusudia t-shirt au unaonaje?
Nipo mamaa... unasemaje...
..................................
vipi? mwenyewe kaja sasa
mi nishamaliza kazi...!! ohoooo!!! lolz!
ahahaaaaa... umemaliza kazi gani besti?
we mtu mzima bana!! au nikuoneshe manyoya?