We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

ah!kudaakuda wallahi!mi mwenye avata ya shoe shine c ndo ntalala doro ayayayayaaaaa.

yani km wewe!! ndio haujulikani kama ni mwanamke ama mwanaume!! lolz!!

unashona viatu kwa computer eenh? lolz! weka hii besti usafishe nyota!

jv6nm.jpg
 
aiseee nimejitahidi kidogo lakini kigugumizi kimechukua nafasi katika maongezi

kuna rais mmoja wa marekani.. kabla hajawa rais, alikuwa muoga sana wa kusimama mbele za watu...

kuhutubia ndio ikawa tabu kabisaa mpaka anatetemeka....

unajua alichofanya mpaka akawa best president in USA?
 
Jaman natumai wazima kuna mkaka kila nikiingia jf lazima nitamani japo kumuona kwenye avatar yake amevaa shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega.sijui kwanini jamani

Labda ni mimi....
 
Back
Top Bottom