huyu mtu anataka nini? afunge tu mambo gani ya kupenda mashati....!
huyu dada mtoa mada kama anamzungumzia tuko, kwenye avatar ya tuko ni mchezaji wa zamani wa arsenal na ufaransa Thierry Henry,naye kapenda avatar,sasa hapo kampenda TUKO au HENRY?
IseJaman natumai wazima kuna mkaka kila nikiingia jf lazima nitamani japo kumuona kwenye avatar yake amevaa shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega.sijui kwanini jamani