We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

Hv kwanini unanivutia hvyo au unasumaku halafu mm chumachuma
 
huyu dada mtoa mada kama anamzungumzia tuko, kwenye avatar ya tuko ni mchezaji wa zamani wa arsenal na ufaransa Thierry Henry,naye kapenda avatar,sasa hapo kampenda TUKO au HENRY?
 
A
Jaman natumai wazima kuna mkaka kila nikiingia jf lazima nitamani japo kumuona kwenye avatar yake amevaa shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega.sijui kwanini jamani
Ise
 
Back
Top Bottom