We mwanaume unikome!

We mwanaume unikome!

najuuta kumuonyesha kikojoleo changu uyu mdada....yani ndo hadi uku duh...ubahili ni sehemu ya utajiri na kuonyesha kua mbunye haimfanyi real men kutoboka mfuko....MPATE ATAKAE KUHONGA....ILA UKIPATA MIMBA NITAWAPA LIFTI YA KWENDA CLINIC
 
Sifa zako hazivumiliki, nakuacha rasmi nawaachia wenzangu.
1: una kibamia
Kwakweli nimejitahidi kukizoea ila naona najitesa tu, kidudu kama sigara no please.
2: ubahili
Bora ungekua sio bahili ningeweza kuvumi hata hicho kibamia, kila siku kulia hali ngumu uchi wa dezo kaombe kijijini kwenu.
3: Hujui mapenzi.
Yani kitandani we ni bure kabisa, huna unachojua,
Unikome mxyuuuuu
mlitongozeana humu.........? mkabiri mwenyewe na umwambie.
 
Lakini wanawake sijafanikiwa kuelewa kabisa,
Sasa mwenzio hana dosali hizo sawa.
Je wewe una kipi unique unahis kuna wenzio hawawezi?
Nahisi huyo jamaa kakupunguza kwenye list ndo maana unaandika kwa hisia.
 
maskini huyo mkaka sijui mbaba ! jaman angalien sana na matusi ya kuwatukna wanaume zenyu (kwanza kwann umtukane shost)? inimejiskia vby ! we umwache tu ukute atakutana na anayekiwezea kibamia kama kapeace ! naamini hujayajua mapenzi bado ! una kasafari karefu saana!
Mkuu ungemtafuta ukamliwaza
 
Mwanamke mwema hasemi kibamia ila ni kimyakimya. Wanaume tukisema tunayokuta kwenu mtasemaje?
 
usajili mpya huo JF wa July tu hapo,tayari washashindwana kudadadadeki!
 
Ila mimi nawashangaa wadada mnaowakataa watu kwa kuwasema kwa maneno ya kejeli kama hilo la kibamia.
Hivi hamuoni aibu na huoni unajizalilisha mwenyewe sababu kwa maneno hayo unaonekana sio mstaarabu na unakuwa kama cheap
Kama humtaki mtu au umeachana nae hata kama ana kibamia ondoka kimya kimya
By da way kuna vitu vya kumkosoa mtu ila sio maumbile ambayo huwez kujitengeneza [emoji34]
 
Back
Top Bottom