We mwanaume unikome!

Kibamia maumbile kayaumba Mungu bwanako hakuyataka pesa kamwombe baba'ako shamba hayo mapenzi uliyoyataka si'ungemfundisha?
unamfundishaje na ushaambiwa kina pwaya hahhaah....kibamia kama sigara jamani hahahha
 
Jamaa kokote alipo mwambie aagize kinywaji nitalipa kwa mpesa,dawa ya mayatima vichwa maji kama huyu ni kupiga bure tu..
 
Swali LA kwanza hakujaza form kuwa na kibamia hilo ni swala la Mungu
 
Ukimpenda mtu kwel kwel unajifunza kustiliana mabaya na kubebana ktk madhaifu ya kila m1.. Ila hapa hakuna jamani!
 
Ha ha ha watanzania wanaweuka siku iz!!.... Sasa cjui umekosea baada ya kumtumia msg mumeo ndo umepost!! ...maana ulivoandka kama taraka lakn ulivopost utafkir unamtumia admin wa JF ambaye huna namna ya kumfikishia ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…