We mwenyewe hembu fikiria

Labda unatafuta gunia la chawa.. Ila pia ujue shetani mbaya nyie hapendi kuwaona wawili wapendanao wakifurahia maisha...[emoji16]
Wee mwenyewe hebu fikiria..!
 
Hii kitu ya kupiga vitu bila sababu kuna siku niliangalia clips youtube nilicheka sana, hivi shida huwa nini?
[emoji23]

Nafikiri ni nature yetu kufanya kitu kimoja Kwa mda mrefu huwa tunaboeka kwahiyo mara nyingi huwa tunatafuta kitu cha ku-distract hii concentration

Ndo unakuta mtu anatembea ameona kopo analipiga nafsi yake inakuwa na aman
 
Unakuta demu ni mzuri tu ila akiingia chooni utadhani amepewa oda ya Mbolea😒😒😒
 
Heeeeee??? Ndugu usiombe kukutana na mme au mke aliterithishwa umalaya na wazazi wake,hata atendewe nn atachepuka na akiamua atazaa kbs ili kuonesha hajali !!!!
 
Mtu mzima na usmart wake hawezi akapiga teke kopo amelikuta barabarani,
Hayo hufanywa na Mtu mwenye utimamu wa mashaka.
Mapenz ni kuridhika tu, kuna watu hawana yote hayo alio yaweka mleta mada and still hakuna kati yao mwenye hulka ya usaliti hata kidogo. Inshort alivo vieleza sio sababu ya kutosaliti/kutochepuka.
 
kwa hyo mleta kamada, unaona kama kumiliki gari ya kuwapeleka hapa na pale wew na mwenza wako, kuwa na kipato cha kubadirisha mboga, kuvaa plus nyumba ya kuishi ndo msingi sana wa kupigana spana dhidi ya usaliti na uchepukaji?
 
Kamwambie DeepPond
 
Hapo namba 7 kwa majirani panategemea na mahali ulipo. Sisi huku majirani wakiona mna furaha mtaambiwa mnalinga. Mke ataambiwa mnajifanya mnapendana na tutaona. Akikaa kwenye siti ya mbele either anakuendesha au unamuendesha nongwa. Mara mnajifanya mnazaa watoto Waziri. Kwa majirani wa uswahilini bila kujifanya kichwa ngumu hutoboi.
 
Huu ni uthibitisho ndoa inaongozwa na mwanamke na huyo mwanamke na master plan wa hiyo familia...kiufupi upo kwenye 18 za mwanamke.


Ninacho jua kwenye mapenzi ya kweli wivu haukosekani na Palipo na wivu vijiugomvi havikosi. Sasa unapo sema mkeo. Mnapendana hamgombani Napata mashaka...mzee hapo kuna mmoja anamuigizia mwenzie.....chunguza maana hakunaga mwanamke Asie na kashikashi kwenye mapenzi yawe ya ukweli yawe ya uongo
 
Mapenz ni kuridhika tu, kuna watu hawana yote hayo alio yaweka mleta mada and still hakuna kati yao mwenye hulka ya usaliti hata kidogo. Inshort alivo vieleza sio sababu ya kutosaliti/kutochepuka.
Uko sahihi kabisa,
Kuchovya chovya ni hulka ya Mtu haijalishi yupo kwenye maisha mazuri ama mabaya.
 
Ayo yote bado hayafanyi/kuzuia mtu kuchepuka
Alafu tambua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na amani ndani ya nyumba(kutokuwa wa ugomvi) & kuwa na upendo (mapenzi) ndani ya nyumba, japo sometimes vinaweza kwenda pamoja
 
Ukiona mwanaume anapiga teke kopo barabarani ujue ana stress zinazo sababishwa na upande wapili haijalishi anaishi maisha gani...

nimetumia tafsida
 
Kwa aina haya ya maisha tunaoishi vijana wa sasa, kuchepuka huja automatically tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…