Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Labda unatafuta gunia la chawa.. Ila pia ujue shetani mbaya nyie hapendi kuwaona wawili wapendanao wakifurahia maisha...[emoji16]1. Una miaka chini ya 35
2. Umeoa mke mzuri na mnapendana
3. Mna Afya njema
4. Mna usafiri wenu wa kuwafikiaha hapa na pale
5. Mnaishi kwenu hamdaiwi kodi
6. Sio matajiri ila pesa ya kubadilisha mboga na majukumu ya kijamii mnapata
7. Hamna ugonvi na majirani.
Sasa hapa ukichepuka unatafuta nini kama sio laana? Simaanishi ukikosa kati ya hivyo uchepuke, ila kuna mazingira hata ukichepuka dhambi lazima iongezeke
Wee mwenyewe hebu fikiria..!