We mwenyewe hembu fikiria

akili ya binadamu haipendi chochote kwa asilimia mia. ipo kimkakatii sana. kukiwa na mvuruugano itaangazia amani na kinyume chake pia ni ukweli. Sema hii mijanamke ya sasa (baada ya kusoma human right) imekengeuka balaa. Mwanamke mwerevu ataitunza ndoa yake__ imeandikwa ivyo sehemu flani. Men is always right. mwanaume husaishwa na mwanaume mwenzie/wenzie. Dunia ng'ari ng'ari.
 
Umesoma sehemu gani panasena "hatugombani" ?
 
Mbona hujataja ishu ya kutoshelezana kingono? Hi ndio habara yenyewe Sasa maana unaweza ukampa vyote mwenzio ila ukashindwa kumtosheleza kingono, na hapa ndipo uchepukaji unapoanzia

Hapa ndo kwenye mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…