Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

Wanaoweza kuifanya nchi ikawa ya chama kimoja ni China na Russia, nchi zenye nguvu za kiuchumi. Tanzania ikithubutu kufanya hivyo inageuka kuwa Zimbabwe ndani ya miezi mitatu.
 
Unawakilisha maoni ya wananchi walio wengi! Lakini hapo mwisho pia umeonyesha uoga wa wananchi walio wengi. Jambo ambalo siyo zuri hata kidogo kwenye Taifa huru lenye kufuata katiba na haki za wananchi wake.
Kuna moja tu hakuna binadamu atakaye kukufanyia mapenzi ya Magufuli kuna ubaya wake na ukweli wake.

Walahii naapa hakuna .
Naongea ukweli eti siongei uongoo.
 
non but anyone from Opposition
 
Wanaoweza kuifanya nchi ikawa ya chama kimoja ni China na Russia, nchi zenye nguvu za kiuchumi. Tanzania ikithubutu kufanya hivyo inageuka kuwa Zimbabwe ndani ya miezi mitatu.
Already tupo practically one party,and theoretically multiparty kwa miaka 4 sasa.
Zamani tulikuwa hivyo zaidi miaka 20 ikiwa single socialist party.
 
Sijakuelewa.
Wewe hupendi chichim ndio maana huelewi .
Ukweli ni huu John Joseph Pombe Magufuli .
Ni mtu wa kipekee . Moyo wake ni wawatu kwanini kasaidia wanyonge.
Mtu maskini kanyimwa haki yake miaka 30 halafu magufuli akaja kumsaidia apate haki.
Sijawahi ona mtu anatatua shida ya mmoja mmoja .
Kuna mabaya yake na mazuri yake .
Na mabaya ni hataki kuzoewa vibaya basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…