Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

Wewe hupendi chichim ndio maana huelewi .
Ukweli ni huu John Joseph Pombe Magufuli .
Ni mtu wa kipekee . Moyo wake ni wawatu kwanini kasaidia wanyonge.
Mtu maskini kanyimwa haki yake miaka 30 halafu magufuli akaja kumsaidia apate haki.
Sijawahi ona mtu anatatua shida ya mmoja mmoja .
Kuna mabaya yake na mazuri yake .
Na mabaya ni hataki kuzoewa vibaya basi.
Hapa umeonyesha udhaifu mkubwa na shida kubwa sana tuliyo nayo. Huwezi kusema kusaidia wananchi wawili watatu mbele ya camera na kuwapatia pesa ndo umesaidia Taifa.

Je unafahamu wenye shida kama huyo mmoja ni wangapi? Na wao wakisubiri rais, tumuache huyu kwa miaka mingapi ili aweze kumaliza hizo shida?

Je Ndege zinasaidia vipi kwenye viwanda?
 
Kila mtu anaakili zake so alipogombea mkumuona hafai saizi mna bwabwaja wanadamu kwa shida haziiishagii.
 
Wanajamvi,

Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumtafuta, na kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao hayo ya kitaifa.

Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hata hivyo, lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi ya kuelekea huko.

Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo, ukiuliza ama kuhoji, basi unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo, unayeshirikiana na mebeberu nk.

Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa katiba na sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi!

Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa! Sababu kubwa haswa ni kuminywa kwa uhuru wao, na pia kujichagulia viongozi wanaowataka...hata tume huru ya uchaguzi, ni kilio kinachoambatana na madai hayo ya wananchi walio wengi! Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha utawala wa katiba, haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi wa Taifa letu pendwa!

...Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya kutoka kwa wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Kiongozi ambaye atasikiliza vilio vya wananchi kuhusu utawala unaofuata sheria na katiba, pamoja na matamanio ya kupata tume huru ya uchaguzi.

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, si wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya wenzetu, na si vurugu mechi!

Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama! Lakini hali iliyopo ni ya tofauti kabisa! Ubaguzi na upendeleo kwa baadhi ya wananchi kulingana na mitazamo ya kisiasa ni kinyume cha katiba ya nchi!

Endapo “law, order and constitutional rights”, itakuwa ndiyo one of the main agendas za Taifa na wananchi walio wengi kwenye uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”

“In matters of truth and justice, there is no difference between large and small problems, for issues concerning the treatment of people are all the same”.

Albert Einstein
I need a president who will ensure a new constitution is in place. No law and order is possible under the current constitution.
 
I need a president who will ensure a new constitution is in place. No law and order is possible under the current constitution.
But we need order and constitutional rights to have a free and fair elections.
 
But we need order and constitutional rights to have a free and fair elections.
Yaani mmechelewa kulia subiri 5 years end then start post like this but now you are blood pressure will go high and its maximum not minimum
 
Nani anabwabwaja kama siyo wewe?
Utaona raisi ninani ??
Nabwabwaja now but you will be on tears soon.
Unadhano watu wanapenda kusema I LOVE CCM .
sio wote ila ni mimi why rangi ya kijani .
Niambie huko chichim nani ananjaa .
Tuambie .
Mf.hai wema sepetu alijitoa chichim akaanza kuhaha na sasa yupo chichim karudi kwa magoti anahela mpaka ameeenda kujipunguza aendelee kuishi kwa chacha je jokate mwegelo .
Hiko chama kina tunza vizuri eti.

Chama chenu chadema mnanyonya hadi damu nusu mumue kwanjaa wema sepetu.
Mf. Mdee angeamua kuwa chichim angeshapata nyama kidogo angeng'aa sasa kila siku majanga kwake.
Jingine tundu bado hatoki huko chadema baada ya kupewa mikosi .

Chichim ndio chama cha raha unavaa kijani tu unakula sio unahongwa hapana nyota inang'aa. Madili yanasomeka .

Chadema brown meaning kavu kavuu .
Nyekundu yaani wao ni wanyonyaji .
Bora kabwe ndio nafuu kwa uongozi anavutia .

Watu huangalia nani anafaa sio anapewa tu uongozi .
 
You’re truly a Unique Flower 🌺😀😎🤦🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom