Na bebez wako walivyowengi hayo yote Ni yakoEti babe unapenda kuniitaje
Mhenga wangu.....aaaaah sitaki case mieEti babe unapenda kuniitaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana og anajijua atanijibu tu hata kwa callNa bebez wako walivyowengi hayo yote Ni yako
Kwahiyo uko na mahela eenh babeMgodi wangu.
Kwamba Jina Hilo linasadifu kuwa you have that "Smart Ass"?hili hili la siku zote 'Smart Ass'
Nimekuelewa SirAniite jina lolote ila sio baby, anaweza kuona nyota za kila rangi.
Kesi ya nn jamani
We mtu upooo
Ni jina tu,usianze kunikadiria sasa