We unapenda akuiteje?

Thread hii imenikumbusha wakati nipo chuo,jamaa yangu aliseviwa "kigari" na demu wake,baada ya mshikaji kujua alidadisi kwa dem bila jibu la maana,baadae alikuja kugundua baada ya kunyetishiwa na mmoja wa mabest wa demu wake kuwa jina hilo "kigari" ni ufupisho wa maneno "kigari cha mshahara", [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahahahhahaa
 
Ambao hatuna tunasoma commets tu
 
Aaah mungine alisaviwa "Umeme"
Siku alipokuja kujua ndo ulikua mwisho wa kukanyaga chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…