- Thread starter
- #21
Yaan kama namsikia akikuita pale uko sebuleni anataka uje chumbani ....we kishudu ebu njoo.....hili hili la siku zote 'Smart Ass'
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan kama namsikia akikuita pale uko sebuleni anataka uje chumbani ....we kishudu ebu njoo.....hili hili la siku zote 'Smart Ass'
😂😂😂Yaan kama namsikia akikuita pale uko sebuleni anataka uje chumbani ....we kishudu ebu njoo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo uko na mahela eenh babe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mgodi wangu mimi [emoji8] wa kwangu pekee angu tu hahhaha kama nakuona mfyuuuuSina kabisa ila nikiitwa ivo ndo nakua nimefungwa mota bebe beiiiibe
This Ass i know?hili hili la siku zote 'Smart Ass'
HahhahahahhahaaThread hii imenikumbusha wakati nipo chuo,jamaa yangu aliseviwa "kigari" na demu wake,baada ya mshikaji kujua alidadisi kwa dem bila jibu la maana,baadae alikuja kugundua baada ya kunyetishiwa na mmoja wa mabest wa demu wake kuwa jina hilo "kigari" ni ufupisho wa maneno "kigari cha mshahara", [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu nimekumiss ujue..?We mtu upooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mgodi wangu mimi [emoji8] wa kwangu pekee angu tu hahhaha kama nakuona mfyuuuu
Aaah mungine alisaviwa "Umeme"Thread hii imenikumbusha wakati nipo chuo,jamaa yangu aliseviwa "kigari" na demu wake,baada ya mshikaji kujua alidadisi kwa dem bila jibu la maana,baadae alikuja kugundua baada ya kunyetishiwa na mmoja wa mabest wa demu wake kuwa jina hilo "kigari" ni ufupisho wa maneno "kigari cha mshahara", [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweli jamani mbona sasa haujaniquote etiAlafu nimekumiss ujue..?
Kiukwelii ukwelii kabisa.
Nipo badae twende tukaombe Dua mbaya kwa washika manati wa London wafyekeleweee mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga weweNakutazama tu.. Unavyokipitisha
Teh D acha woga nilitaka kuuliza zaidi kwamba ametumia Kipimo gani kubaini kuwa you have that "Smart Ass" Kama anavyokuita yeye.Ni jina tu,usianze kunikadiria sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wewe
Nilikua najikaza kisabuni.Sema kweli jamani mbona sasa haujaniquote eti
Na mm nipo mbele yako ulipo nipo hivi nakuwezaje wewe mtu lakiniHahahha Mimi huyu huyu. Lakini poa sikuachi bado nipo nyuma yako