Teh teh tehNimekununiaa.... Tabia mbaya kuadimika hivyo.
I Miss you too though!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh
Usifanye hivyo sisi ndugu banah
Sawa loveNapenda jina Lolote romatic baby..Ukiniita Mpenzi,love..whatever you feel like..
Sent using Jamii Forums mobile app
mie majina ya mapenzi penzi siwez..mie naitaga dogo tu nayy ananiita dogo...ila mie namwitaga extra ..Baba ubaya!refer katuni za baba ubaya ndo hubby anapita mle mle[emoji39][emoji39]
Kwanini mpenzi wangu jamani?we mdada unaringsaaanaaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Love
Honey
My..
Sweetie...
Mahabuba
Kipenzi
pm zangu hujaziona😌Kwanini mpenzi wangu jamani?
Hata hivyo hilo neno huwa naliskia tuu nadhani hata nikilifanyia mazoez nitafeli
Hapana sijaona chochotepm zangu hujaziona[emoji18]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]