We unapenda akuiteje?

We unapenda akuiteje?

mie majina ya mapenzi penzi siwez..mie naitaga dogo tu nayy ananiita dogo...ila mie namwitaga extra ..Baba ubaya!refer katuni za baba ubaya ndo hubby anapita mle mle😋😋
 
Back
Top Bottom