tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Jun 19, 2012 #1 Attachments LUGHA GONGANA.jpg 13.6 KB · Views: 246
Neiwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 728 Reaction score 633 Jun 19, 2012 #2 Nafikiri imefika wakati watu tuwe realistic na kuwa wazi mwanzo wa mahusiano nini mwatarajia kupata tokana na hayo mahusiano, na pia nguvu yako unayo invest iko level gani.
Nafikiri imefika wakati watu tuwe realistic na kuwa wazi mwanzo wa mahusiano nini mwatarajia kupata tokana na hayo mahusiano, na pia nguvu yako unayo invest iko level gani.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jun 19, 2012 #3 ah hayo mambo ya kitoto...watu wazima una nena unachokitaka mapema na atakuelewa tuu
cartura JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 3,026 Reaction score 789 Jun 19, 2012 #4 ndiyo maana inabidi kuweka karata zenu mezani mapema ili kuepuka lawama zisizo la lazima..
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 294 Jun 19, 2012 #5 ilo kweli kabisa, na ndo maumivu yanapoanza hapo.
Y yaliyomo yamo Member Joined Apr 26, 2012 Posts 39 Reaction score 6 Jun 19, 2012 #6 io ndo habar kaml chelewa chelewa ukute mpangaj mpya
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,795 Reaction score 9,143 Jun 19, 2012 #7 Wadada wanatendwa sana duh wakati wao wana manisha wengi wetu unakuta walaah
Vituka JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 2,266 Reaction score 1,264 Jun 20, 2012 #8 Its high time tuwe na ndoa/mahusiano kwa contract! Mkataba ukiisha tunaangalia tu renew au tusitishe! Mana bila hivyo tutaumizana bwana
Its high time tuwe na ndoa/mahusiano kwa contract! Mkataba ukiisha tunaangalia tu renew au tusitishe! Mana bila hivyo tutaumizana bwana