We unawaza hiki mwenzako anawaza kile.....

We unawaza hiki mwenzako anawaza kile.....

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
attachment.php
 

Attachments

  • LUGHA GONGANA.jpg
    LUGHA GONGANA.jpg
    13.6 KB · Views: 246
Nafikiri imefika wakati watu tuwe realistic na kuwa wazi mwanzo wa mahusiano nini mwatarajia kupata tokana na hayo mahusiano, na pia nguvu yako unayo invest iko level gani.
 
ah hayo mambo ya kitoto...watu wazima una nena unachokitaka mapema na atakuelewa tuu
 
ndiyo maana inabidi kuweka karata zenu mezani mapema ili kuepuka lawama zisizo la lazima..
 
ilo kweli kabisa, na ndo maumivu yanapoanza hapo.
 
Wadada wanatendwa sana duh wakati wao wana manisha wengi wetu unakuta walaah
 
Its high time tuwe na ndoa/mahusiano kwa contract! Mkataba ukiisha tunaangalia tu renew au tusitishe! Mana bila hivyo tutaumizana bwana
 
Back
Top Bottom