Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mashangingi 14!Hebu angalia msafara wa Mjomba na Mishangingi iliyopo. Nimeshindwa hata kuhesabu. Sasa ambulance itoke wapi? Ukiongeza huku inabidi upunguze kule.
YouTube - Broadcast Yourself.
Kaka punguza hasira vinginevyo utamaliza vitu ndani maana hii nchi inamambo ya #@^***&..Mfano Ambulance kuikuta imepark baa dereva na Daktari wanapata moja baridi moja moja moto au kufanya shughuli zingine za hosp wakati tunajua Ambulance ni kwa ajiri ya shunguli zipi nini, lkn hii inasababishwa na nini? ...hii ndiyo BongoJamani kutokana na hasira niliipasua TV yangu pale pale huu ni upuuzi sasa kodi tunalipa za nini? .
Chukua Chako Mapema...naukionekana utetea wanainchi sana wana kuingiza kwenye system(utaongea nini na wewe uko kwenye system) au wanakuchafulia na hutaupata tena ubunge hivyo wengi wao hutulia imradi anapata chake na anauhakika kuendelea kuwa mbunge..lkn kwa kasi hii hawana muda mwingi tumeanza kuwashitukia, tutaondoa mmoja baada ya mwingine....Nashangaa wabunge nao wameridhika kupewa Ambulance 50 nchi nzima sijui wanatetea masrahi ya nani bungeni.
Spika....Katibu soma kifunguNashangaa wabunge nao wameridhika kupewa Ambulance 50 nchi nzima sijui wanatetea masrahi ya nani bungeni.
Wamekamliwa vya kutosha na mafisadi au wametumia pesa nyingi sana kulinda mafisadi..kama serikali haina pesa mbona mashangingi wanayaagiza kama kawa na mishahara ya wabunge juu....kuwa hali ya kifedha serikali ni mbaya sana na ndio maana fedha zinatengwa kidogo.
Alisema hivyo baada ya kulieleza Bunge kuwa hali ya kifedha serikali ni mbaya sana na ndio maana fedha zinatengwa kidogo.
duuuh kumbe ni 1000x100,000,000(ni wastani )...vipi bei ya Ambulance (50 x ......?)..Ndo hapo napo choka yaani nao wamekubali wananchi tuteseke kwa kupewa Ambulance 50 nchi nzima na kupitisha mashangingi 1000 kwa ajili ya vibopa.
patakuwa patamu mtukama RA atembele Bajaji si mtampiga mawe...Kuna waziri alipendekeza wanunue yenye thamani ya mil 80 badala ya 100 kama sikosei kwamba watakuwa wameokoa mil 20@ na kupitisha msako kwa magari yaliyokuwa wameyafanya yao wakati ya serikali walimnunia ikawa bifu mpaka leo..sasa ukiwaambia watembelee bajaj si watakuua hata maiti yako isionekahata Bajaj
hii ni kwaajiri ya watanzania mil 40 na 1000 x 100,000,000 kwaajiri ya no name 1000..Hehehe wanachukua Hardtop ni kama 68,000,000x50