Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
- Thread starter
- #41
patakuwa patamu mtukama RA atembele Bajaji si mtampiga mawe...Kuna waziri alipendekeza wanunue yenye thamani ya mil 80 badala ya 100 kama sikosei kwamba watakuwa wameokoa mil 20@ na kupitisha msako kwa magari yaliyokuwa wameyafanya yao wakati ya serikali walimnunia ikawa bifu mpaka leo..sasa ukiwaambia watembelee bajaj si watakuua hata maiti yako isioneka
Hehehehe mkuu kwa mizunguko ya mkoani mfano unamtoa mkuu wa wilaya home mpaka ofisini au waziri toka home mpaka ofisini Bajaj inatosha kwani wanao panda Bajaj ni punda? Si ni binadamu kama wao.