we went, we saw, we wondered...……………..so what?
You have to stop this insecurity brother.
Uwezo wetu ndiyo ulitupeleka pale.
Kufika Egypt na Kufungwa ndiyo iwe sababu sababu ya kuwashukuru Uganda?
You are too stupid to post the thread.
Najiuliza swali moja, je Uganda walitubeba katika mechi zote mbili au vipi. Kwa mechi ya kwanza walikuwa wana uhitaji wa points kwa kuwa hawakuwa na uhakika. Walidondosha points 2.Tunapaswa tukubali. Uganda walionesha uzalendo na upendo mkubwa kwetu. Kma si wao leo hii tusingekuwa hapo.
Ada ya mja hunena Uungwana ni Vitendo. Tuwashukuru ndugu zetu kutufikisha tulipo. Tumeenda, Tumeona,Tumeshangaa.
Wabongo huenda kwa mihemko tu nduguNajiuliza swali moja, je Uganda walitubeba katika mechi zote mbili au vipi. Kwa mechi ya kwanza walikuwa wana uhitaji wa points kwa kuwa hawakuwa na uhakika. Walidondosha points 2.
Sasa kama waliashindwa kwao, wakiwa wahitaji cha ajabu nini sisi kuwafunga?
Tusijidharau.
Tusitegemee matokeo makubwa hapa. Kubwa tunapata uzoefu katika mashindano. Mwaka ujao tushiriki tena, tutakomaa tu!