We went, We Saw, We Wondered.Ni lini kama Taifa tutatoa shukrani zetu kwa Uganda?

We went, We Saw, We Wondered.Ni lini kama Taifa tutatoa shukrani zetu kwa Uganda?

Hii ngoma ngumu kila upande unamdondoshea zigo upande mwingine..anyway hawa ndo makocha wa taifa stars kwa sasa kila mtu anajifanya anajua kufundisha timu
FB_IMG_15612047023258426.jpeg
 
FUFA nadhani haikutoa hata senti moja Uganda walivyoenda misri eti kujiandaa dhidi ya Stars, Safari ya kutoka Uganda hadi misri na mpaka kuja bongo na kuondoka huenda TFF waligharamia kila kitu 😂😂😂
 
ile gemu dhidi ya uganda kabla ya kusakatwa ilikuwa tayari ishachezwa mezani.
 
Madam why have you panicked this much? Leave this to men. We know what we are talking about. You kind of lady wouldnt understand what happens in men's dressing rooms. Just cool down itakosa mume kwa this kind of misbehaving. Au upo siku mbaya za mwezi? Sioni kilichokutoa povu hivi.

we went, we saw, we wondered...……………..so what?
You have to stop this insecurity brother.
Uwezo wetu ndiyo ulitupeleka pale.
Kufika Egypt na Kufungwa ndiyo iwe sababu sababu ya kuwashukuru Uganda?
You are too stupid to post the thread.
 
Tunapaswa tukubali. Uganda walionesha uzalendo na upendo mkubwa kwetu. Kma si wao leo hii tusingekuwa hapo.

Ada ya mja hunena Uungwana ni Vitendo. Tuwashukuru ndugu zetu kutufikisha tulipo. Tumeenda, Tumeona,Tumeshangaa.
Najiuliza swali moja, je Uganda walitubeba katika mechi zote mbili au vipi. Kwa mechi ya kwanza walikuwa wana uhitaji wa points kwa kuwa hawakuwa na uhakika. Walidondosha points 2.
Sasa kama waliashindwa kwao, wakiwa wahitaji cha ajabu nini sisi kuwafunga?
Tusijidharau.
Tusitegemee matokeo makubwa hapa. Kubwa tunapata uzoefu katika mashindano. Mwaka ujao tushiriki tena, tutakomaa tu!
 
Wabongo huenda kwa mihemko tu ndugu
 
Sama Goal yupo juu.... Ameongoza Kwa magoli msimu huu ligi kuu ubelgiji aliye juu yupo juu tu
 
Back
Top Bottom