We were speaking of the rothschilds

We were speaking of the rothschilds

Andrew Nyerere,
You should be reading the Book titled "SECRETS OF THE FEDERAL RESERVE: The London Connection By Eustace Mullins" right?! Na hiyo quote kama sijakosea itakuwa kwenye safari to Jekyll Island

Napendekeza kwa kila mtu hasa vijana wanaopenda kujua ni kwa jinsi gani Uchumi na Tawala za dunia zinaingizwa madarakani na kuendeshwa kwa mkono usionekana karne hadi karne wakipitie kitabu hiki. Kwa atakayeamasika ani-PM nimtumie.

Absolutely,huyo mwandishi Eustace Mullins,ndiye mmoja anbaye ameandika mambo mengi kuhusu hii conspiaracy ya kuwaibia watu wote duniani hela zao.
 
Absolutely,huyo mwandishi Eustace Mullins,ndiye mmoja anbaye ameandika mambo mengi kuhusu hii conspiaracy ya kuwaibia watu wote duniani hela zao.

Linaloniuma zaidi ni huu ukweli kwamba hata kati ya Maprof wa uchumi na Magwiji wa Biashara ni wachache sana duniani waliofunuliwa hii siri ya jinsi pesa inavyotengenezwa kutoka hewani!. Huniuma sana nikisikia mtu akitumia sababu kama "Kuyumba kwa uchumi wa dunia", "mtikisiko wa uchumi" kuelezea hali ngumu ya maisha. Niliwahi kuuliza hivi:

Almasi, Dhahabu na Tanzanite haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!
Mafuta na Gesi haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!
Mbuga za wanyama na vivutio vya Utalii haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!
Ardhi, Maji, Milima haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!

Tafakari: Inawezekanaje basi PESA ikaweza kutengeneza watu; baadhi wakaitwa MATAJIRI na wengine MASKINI ilhali haiwezi kuvitengeneza vitu vinavyowafanya kuwa hivyo?
 
Back
Top Bottom