We were speaking of the rothschilds


Absolutely,huyo mwandishi Eustace Mullins,ndiye mmoja anbaye ameandika mambo mengi kuhusu hii conspiaracy ya kuwaibia watu wote duniani hela zao.
 
Absolutely,huyo mwandishi Eustace Mullins,ndiye mmoja anbaye ameandika mambo mengi kuhusu hii conspiaracy ya kuwaibia watu wote duniani hela zao.

Linaloniuma zaidi ni huu ukweli kwamba hata kati ya Maprof wa uchumi na Magwiji wa Biashara ni wachache sana duniani waliofunuliwa hii siri ya jinsi pesa inavyotengenezwa kutoka hewani!. Huniuma sana nikisikia mtu akitumia sababu kama "Kuyumba kwa uchumi wa dunia", "mtikisiko wa uchumi" kuelezea hali ngumu ya maisha. Niliwahi kuuliza hivi:

Almasi, Dhahabu na Tanzanite haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!
Mafuta na Gesi haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!
Mbuga za wanyama na vivutio vya Utalii haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!
Ardhi, Maji, Milima haviwezi kutengenezwa na Mwanadamu. PESA inatengenezwa!

Tafakari: Inawezekanaje basi PESA ikaweza kutengeneza watu; baadhi wakaitwa MATAJIRI na wengine MASKINI ilhali haiwezi kuvitengeneza vitu vinavyowafanya kuwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…