Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Wakuu wale wanaharakati wa Kenya na Uganda waliodai kufanyiwa vitendo vya kikatili na Tanzania wamesema lazima wadai fidia kwa Serikali ya Tanzania. Haya yameandikwa kwenye gazeti maarufu la Uingereza la The Guardian
Mi najiuliza hawa hawawezi kusuka mpango wa kukamata ndege zetu kweli kama Serikali ikigoma kuwalipa? Madai yao nayo yatakuwa katika lile deni la taifa?😂
www.theguardian.com
Mi najiuliza hawa hawawezi kusuka mpango wa kukamata ndege zetu kweli kama Serikali ikigoma kuwalipa? Madai yao nayo yatakuwa katika lile deni la taifa?😂
‘We won’t let them get away with this’: activists to sue Tanzania’s government over ‘sexual torture’
Boniface Mwangi and Agather Atuhaire vow to hold authorities accountable as repression intensifies before October elections