😂😂😂Watu wanataka hela ili mrafi boya kaingia kwenye 18.
Hiyo inaitwa ni guse ni nuke , Hao maboya waliona kuwa ule mchongo ni fursa so wakaja tz wakachokonoa mamlaka mamlaka ikajaa kwenye 18 Now watakwenda kudai haki ulaya na watalipwa ,, Let's wait and see