babuumzuri
Member
- Sep 18, 2020
- 14
- 7
Habarini.
nawezaje ku connect web application na mysql database ili user anapo input taarifa zake mfano za registration ziende moja kwa moja mpaka kwenye database.
hapa tayari nimecreate web app na database via mysql ila nimeshndwa namna ya kuziconnect.
naombeni msaada.
natanguliza shukrani.