Webmoney, paxum, epayments. Njia ipi inatoa pesa Tanzania?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Kuna kampuni nataka niingie nao mkataba wa kuwafanyia kazi ila wanalipa kwa njia tajwa tatu

1. Webmoney
2. Paxum
3. ePayments.

Ni ipi kati ya hizi njia zinakubali kufanya miamala ya kutoa pesa kwa hapa Tanzania??
 
Umejaribu kufuatilia webmoney??
 
Back
Top Bottom