Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kuna kampuni nataka niingie nao mkataba wa kuwafanyia kazi ila wanalipa kwa njia tajwa tatu
1. Webmoney
2. Paxum
3. ePayments.
Ni ipi kati ya hizi njia zinakubali kufanya miamala ya kutoa pesa kwa hapa Tanzania??
1. Webmoney
2. Paxum
3. ePayments.
Ni ipi kati ya hizi njia zinakubali kufanya miamala ya kutoa pesa kwa hapa Tanzania??