Website bora ya manunuzi mtandaon bila card ya benki

Website bora ya manunuzi mtandaon bila card ya benki

Jordi alfred

Member
Joined
Oct 24, 2019
Posts
20
Reaction score
5
Habarin jaman natumahi kila mmoja yupo okay

Leo nataka kushare idea na nyinyi katka habar za mitandaoni

Kuna kampuni mbalimbali kama eBay, Ali baba na Amazon unaweza kufanya manunuzi suala na kuwa wanahitaji uwe na kadi ya benk yaani (visa au MasterCard )

#Swali lang ni kuwa je kuna kampuni ambayo unaweza kufanya manunuzi kwa njia nyingne tofauti na card ya benki???
images%20(3).jpeg
images%20(2).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikuu

Pia nyingine zote unaweza kutumia M pesa master card
 
Tumia Virtual card mfano mpesa MasterCard au Airtel MasterCard...mimi nakushauri utumie Airtel MasterCard nirahidi salama.pesa inakatwa moja kwa moja toka Airtel money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom