Website developer (wordpress developer) Natafuta Kazi

rutajwah

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
89
Reaction score
101
Habari wanajf,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni self taught web/wordpress developer

Natafuta kazi kama website/wordpress developer

Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time.

Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development agency zozote unaweza niconnect pia.

Natanguliza shukrani.

Mawasiliano
+255674664154 Whatsaap/Call

Attachments

  • kibo2Capture.PNG
    18.3 KB · Views: 16
Nichek whatsap 0684808929 kama upo vizuri kwenye system design
 
Kwenye system design upo vizuri?
Mkuu kama nlivojitambulisha kwenye bandiko langu.... nimebase kwenye wordpress platform .... So far nimefanya project ya e-commerce kwa kutumia woocomerce... So Kama uko interest na Kufanya System Kwa kutumua wordpress yes I can do it.....
 
Wakuu bado natafuta kazi. Kwa mwenye connections msaada wenu will be appreciated.
 
School management system implemented using wordpress

wakuu bado nahitaji kazi kwa mwenye connection ya kazi naomba anipe mchongo ntashukuru sana

Mawasiliano
+255674664154 Whatsaap/Call
 
Skills;
html,css,javascript

Mawasiliano
+255674664154 Whatsaap/Call
 
Habari wanajf,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni self taught web/wordpress developer

Natafuta kazi kama website/wordpress developer

Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time.

Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development agency zozote unaweza niconnect pia.

Natanguliza shukrani.

Mawasiliano
+255674664154 Whatsaap/Cal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…