Website hapa nchini Tanzania.

Joined
Sep 6, 2011
Posts
28
Reaction score
5
Wadau nina shida ya kujua hatua za kufuata mpaka niweze kuwa na Website yangu kwa ajili ya kufanya au kutangaza biashara mbalimbali katika website hiyo. Mwenye kujua Please!
 
utahitaji kuregsiter kitu kinaitwa domain name halafu itabidi utafute ISP wakuhost your domain.Fortuantely Africaonline we do all this for you.Just call me 0717031290/0786888824
 
utahitaji kuregsiter kitu kinaitwa domain name halafu itabidi utafute ISP wakuhost your domain.Fortuantely Africaonline we do all this for you.Just call me 0717031290/0786888824
mkuu gharama yaweza kuwa sh. ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…