geoffrey nkwabi
Member
- Sep 6, 2011
- 28
- 5
Wadau nina shida ya kujua hatua za kufuata mpaka niweze kuwa na Website yangu kwa ajili ya kufanya au kutangaza biashara mbalimbali katika website hiyo. Mwenye kujua Please!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu gharama yaweza kuwa sh. ngapi??utahitaji kuregsiter kitu kinaitwa domain name halafu itabidi utafute ISP wakuhost your domain.Fortuantely Africaonline we do all this for you.Just call me 0717031290/0786888824