Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

salari

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,981
Reaction score
6,924
Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia.
Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia nitapata.
Natanguliza shukrani za dhati kwa wote watakaonisaidia
 
Ubora kiaje? Tumia tu Auction Sheet ndio inakupa info full. ChatGPT haiwezi.
Auction Sheet inaweza kuwa imeeditiwa hasa mileage na hata kuna mfano niliuona hapa JF namna ambavyo action sheet ilikuwa imechezewa na mileage kupunguzwa
Ubora namaanisha hali halisi ya gari kama grade yake, mileage yake, service history, owneship yake if alikuwa mmoja au wengi, grade ya interior na mengine mengi.
 
Hapo ni tatizo la muuzaji. Unauaumenunua kwa wauzaji makanjanja.
 
Back
Top Bottom