Hivi hawa CWT wameshindwa hata kuanzisha website, wanafanya mambo yao kisiri siri. Wamejazana huko ni vikao tu, hawana hata wazo la website. Wanazidi kudunisha taaluma ya ualimu. Nadhani kuna tatizo la ki uongozi.
He hivi hajui kuwa CWT nipango la CCM. kama unabisha hebu gombea nafasi yoyote katika chama hicho kama ww si CCM huwezi kushinda. wale wako pale kwa maslahi hao binafsi na ya chama hivyo hawawezi kufikiria swala la website. kwani hawataki watu wajue na kuhoji ni jinsigani fedha zinazochangwa na wanachama zinavyo tumika
Nawategemea sana vijana walio ajiriwa kipindi hiki kuleta mabadiliko makubwa kwenye hiki chama kwani kimekuwa goigoi sana na mafisadi wamezidi,
Walimu vijana wakati ni wenu kuleta mabadiliko kwenye hiki chama.
Hakuna website, hawana website na mpango huo hawana, kwakuwa wanafanya mambo kw siri kubwa.....
Vijana wanahtajka kuleta mapinduzi, lakn hawa walimu wa cheti n tatzo
elimu bila kujali msingi au sekondari toeni TAMISEMI, elimu ni mzigo tena za kata? hembu pigeni debe tamisemi iachie elimu,iwe wizara jamani-CWT kitu gani achana nao, wale wapuuzi