Website ya chama cha walimu tanzania

Website ya chama cha walimu tanzania

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,413
Reaction score
4,020
Waungwana nimeitafuta website ya chama cha walimu bila mafanikio, kama kuna wa kunisaidia pliz!
 
Hivi hawa CWT wameshindwa hata kuanzisha website, wanafanya mambo yao kisiri siri. Wamejazana huko ni vikao tu, hawana hata wazo la website. Wanazidi kudunisha taaluma ya ualimu. Nadhani kuna tatizo la ki uongozi.
 
He hivi hajui kuwa CWT nipango la CCM. kama unabisha hebu gombea nafasi yoyote katika chama hicho kama ww si CCM huwezi kushinda. wale wako pale kwa maslahi hao binafsi na ya chama hivyo hawawezi kufikiria swala la website. kwani hawataki watu wajue na kuhoji ni jinsigani fedha zinazochangwa na wanachama zinavyo tumika
 
Nawategemea sana vijana walio ajiriwa kipindi hiki kuleta mabadiliko makubwa kwenye hiki chama kwani kimekuwa goigoi sana na mafisadi wamezidi,
Walimu vijana wakati ni wenu kuleta mabadiliko kwenye hiki chama.
 
au bado wana mawazo walimu wanaishi vijijini kusiko na mitandao
 
Hakuna website, hawana website na mpango huo hawana, kwakuwa wanafanya mambo kw siri kubwa.....
Vijana wanahtajka kuleta mapinduzi, lakn hawa walimu wa cheti n tatzo
 
elimu bila kujali msingi au sekondari toeni TAMISEMI, elimu ni mzigo tena za kata? hembu pigeni debe tamisemi iachie elimu,iwe wizara jamani-CWT kitu gani achana nao, wale wapuuzi

source Mh. mbunge CHARLES MWILEGA
 
Kwa taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwa kwamba;tovuti yao ipo kwenye mgomo baridi.
"THE_EMPEROR BABY"
 
Back
Top Bottom