Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
website ya timu yetu haiitaji miezi minne au sita. hili tunaweza kulifanya ndani ya wiki chache tu na kuwa na website nzuri. La maana ni kuwa na chanzo cha habari na kuanza kudigitize habari mbalimbali za klabu through the years. Jambo moja ni kuwa hiyo website isiwe mali ya klabu. Iwe ni ya mashabiki na wote wanaofanya shughuli zake wafanye kwa kujitolea. Nje ya hapo, basi timu yenyewe ifanye mambo haya na mashabiki wafanye mambo yao.
Jamani ehhh, na timu yangu ya zamani ikiwezekana msiisahau. Au watu wa Simba humu ndani ni Wahindi kikwelikweli? Kuna zile picha za historia ya Tanzania, kule kuna picha nyingi sana na zikusanywe zile na nyingine nyingi na ziwekwe pamoja. Yanga wawe na yao na Simba wawe na yao. Hizi timu ni part ya historia ya Tanzania.