Website ya Dar Young Africans-Yanga

Website ya Dar Young Africans-Yanga

website ya timu yetu haiitaji miezi minne au sita. hili tunaweza kulifanya ndani ya wiki chache tu na kuwa na website nzuri. La maana ni kuwa na chanzo cha habari na kuanza kudigitize habari mbalimbali za klabu through the years. Jambo moja ni kuwa hiyo website isiwe mali ya klabu. Iwe ni ya mashabiki na wote wanaofanya shughuli zake wafanye kwa kujitolea. Nje ya hapo, basi timu yenyewe ifanye mambo haya na mashabiki wafanye mambo yao.

Jamani ehhh, na timu yangu ya zamani ikiwezekana msiisahau. Au watu wa Simba humu ndani ni Wahindi kikwelikweli? Kuna zile picha za historia ya Tanzania, kule kuna picha nyingi sana na zikusanywe zile na nyingine nyingi na ziwekwe pamoja. Yanga wawe na yao na Simba wawe na yao. Hizi timu ni part ya historia ya Tanzania.
 
inatakiwa ziwemo pia habari za wachezaji wa zamani na kumbukumbu za mechi walizozicheza
 
Tatizo la timu zetu ni katiba. once katiba ikishaandikwa kuibadili kimbembe. kesi haziishi -- chanzo katiba. na haibadilishiki bila kuwa na kura za wajumbe kadhaa -- hapa ndipo nilipolenga -- rushwa,chuki,ubinafsi.miaka nenda tuko pale pale.
 
yanga jana, leo, daima...
Hiyo web ianzishwe faster bila kusahau kipengele cha History ambapo watu watapata kufahamu kuwa mwaka 1972 simba koko waligeuza basi chang'ombe na hawakufika Taifa kwa ajili ya pambano lao na Yanga.
 
Mzee wahistory uliiona historia tarehe 31-10-2009... Mtani usikisahau hiki kipande kwenye website ya yeboyebo.com "Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa...Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?"
Mmesha mlipa Kodic Mishahara yake ya miezi 4, kama hamjamlipa muweke hiki kipande pia Yanga ya Mafisadi ya shindwa kumlipa Kocha mishahara ya miezi minne hapo itakuwa historia imetulia..
Halafu nasikia Phiri anataka Mechi ya kirafiki na Yanga kesho baada ya mechi yetu na Mtibwa teh teh teh
 
It is good idea!Maana bongo tuko nyuma sana kwenye IT matters.
Jiji la Dar es Salaam halina hata website yake?au ipo?
 
Mzee wahistory uliiona historia tarehe 31-10-2009... Mtani usikisahau hiki kipande kwenye website ya yeboyebo.com "Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa...Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?"
Mmesha mlipa Kodic Mishahara yake ya miezi 4, kama hamjamlipa muweke hiki kipande pia Yanga ya Mafisadi ya shindwa kumlipa Kocha mishahara ya miezi minne hapo itakuwa historia imetulia..
Halafu nasikia Phiri anataka Mechi ya kirafiki na Yanga kesho baada ya mechi yetu na Mtibwa teh teh teh

Dah!!,yaani bado una UTANI wa enzi za kijima mazee(bado una mawazo ya akina Mzimba na Dalali aisee).Cha msingi hapa ni kutoa tu pongezi kwa Yanga kwa hatua hii nzuri ya kuanzisha tovuti yake kwani kwa Dunia ya sasa tovuti ni njia rahisi sana ya kupashana habari(mfano JF) na pia Timu yaweza kuitumia tovuti hiyo kutangaza biashara za makampuni mbali mbali na kujiongezea kipato.Pia timu inaweza kuitumia tovuti hiyo kujitangaza(kuwatangaza wachezaji wake katika anga za kimataifa)...Binafsi ningefurahi zaidi endapo ungekuja na wazo la kuitaka Simba ianzishe tovuti yake kama ilivyo kwa Yanga ama Mtibwa Sugar....Pamoja mkuu
 
Sina ubishi kwenye swala la yanga kuanzisha website naliunga miguu na ninajua faida za website kwani hata ya simba iko kwenye mchakato...kwa mjibu wa masatu siyo website tu bali uwanja na kukalabati jengo letu..na yote haya tutayafanya bila kutengemea mafisadi kama livyofanya vyie
tuko pamoja
 
Kila la heri
 
Dah!!,yaani bado una UTANI wa enzi za kijima mazee(bado una mawazo ya akina Mzimba na Dalali aisee).Cha msingi hapa ni kutoa tu pongezi kwa Yanga kwa hatua hii nzuri ya kuanzisha tovuti yake kwani kwa Dunia ya sasa tovuti ni njia rahisi sana ya kupashana habari(mfano JF) na pia Timu yaweza kuitumia tovuti hiyo kutangaza biashara za makampuni mbali mbali na kujiongezea kipato.Pia timu inaweza kuitumia tovuti hiyo kujitangaza(kuwatangaza wachezaji wake katika anga za kimataifa)...Binafsi ningefurahi zaidi endapo ungekuja na wazo la kuitaka Simba ianzishe tovuti yake kama ilivyo kwa Yanga ama Mtibwa Sugar....Pamoja mkuu

Kupaka rangi jengo lao tu ni utata wameshindwa...
Je lufungua web wataweza?
 
Kwa hiyo wazee mmefikia wapi na huo mpango wenu, hii thread naona imefunguliwa toka february sijui. Nina mengi ya kuchangia.
 
mi wajameen nimeshindwa kuelewa lengo ni nini web ya young ua kuanzisha band??? Pepe kale n marehemu gulamali naye hii haiwezi kusaidia c wakati wa kutazama za kale angalien watani wenu waleeeeeeee nini kifanyike ndo nadhan ndo lingekua jambo la msingi
 
duuh babu wazo n zuri sana lakin c unajua timu zetu za kibongo yote yatawezekana pale tu timu inapofanya vizuri kama SIMBA kwa sasa huku mhh ngumu umesikia lakin mtibwa leo kapigwa???
 
Kupaka rangi jengo lao tu ni utata wameshindwa...
Je lufungua web wataweza?
Tumeweza kushinda mechi 11 mfullulizo tutashindwa kufungua website...
kufungua website siyo issue kivile labda quality ya website ndiyo issue..
 
Sawa mmeshinda mechi kumi na moja well, lakini kuna mambo ya msingi mnatakiwa muyafanye ili muweze kung'ara zaidi.
Kwanza mnatakiwa mpake rangi jengo lenu pale msimbazi. Pili mnatakiwa muweke vyoo jengo lenu, sio watu wanajisaidia vichochoroni na kwenye korido, pia mtafute sehemu ili mnunue na kuufanya uwanja wenu wa mazoezi na si kutanga tanga.
Na pia muachane na mfumo wa kutembeza bakuli pindi mnapohitaji pesa, mnatakiwa mjijengee mirija ya fedha zitakazowasaidia kuwafanikishia mambo yenu ya msingi.

Igeni mfano wa Yanga...ukiwa kagera ama pale usalama unaliona jengo lao linalong'aa huku madirisha yake yakiwa ya kisasa zaidi...yanga jana, leo,, daima
 
"...Abasi Gulamali raisi wa yanga....Yanga Afrika, Yanga Afrika mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati eeeeh heeee!!"

Hiyo ni sehemu tu ya lile dude....kuna mjinga mmoja wakati wa high school ilikuwa Yanga ikishinda lazima bweni likeshe, yeye Pepe Kale mie Bileku Mpasi tunawatumbuiza na "Yanga Afrika"!! Hahahahaha....

Kumbe Gulamali alikuwa Rais wa Yanga!!!! Ehe! Ama kweli umaskini m-baya.
 
Sawa mmeshinda mechi kumi na moja well, lakini kuna mambo ya msingi mnatakiwa muyafanye ili muweze kung'ara zaidi.
Kwanza mnatakiwa mpake rangi jengo lenu pale msimbazi. Pili mnatakiwa muweke vyoo jengo lenu, sio watu wanajisaidia vichochoroni na kwenye korido, pia mtafute sehemu ili mnunue na kuufanya uwanja wenu wa mazoezi na si kutanga tanga.
Na pia muachane na mfumo wa kutembeza bakuli pindi mnapohitaji pesa, mnatakiwa mjijengee mirija ya fedha zitakazowasaidia kuwafanikishia mambo yenu ya msingi.

Igeni mfano wa Yanga...ukiwa kagera ama pale usalama unaliona jengo lao linalong'aa huku madirisha yake yakiwa ya kisasa zaidi...yanga jana, leo,, daima

Uwe na uwanja usiwe na uwanja kama mpira unaujua utashinda tu!

Ndugu zetu mnatambia pesa ya Bwanaa... (Manji).
 
Tatizi la mpira Tanzania sio la Yanga tu bali ni timu zote ikiwemo simba. Muako na mpenzi wa mpira Tanzania umeshuka sana. Kutokana na kupanuka kwa mawasiliano watanzania wanaweza kuona mipira ya mataifa mengine yaliendelea kisoka. Tunaona mipira ya ligi ya Ulaya, lingi ya Uingereza, kombe la dunia nk. Tunagundua kwamba mpira wetu ni wa cha ndimu ukilinganisha na timu za Ulaya. Matokeo yake wengi tunakuwa mashabiki wa Machesta kuliko Yanga au simba. Wakati Yanga na Simba wanancheza leo mtu haendi uwanjani wala kuwacha redio au TV aangalie mechi hiyo. Badala yake utamkuta kwenye TV anaangalia ligi za Ulaya. Mtu kama huyu unategemea atachangia nini katika soka letu.

Zamani ilikuwa mpira wa Yanga na Simba watu wako uwanjani saa nne asubuhi. Wachezaji walikuwa wanacheza kwa moyo na kujituma. Leo timu inafungwa magori matatu wachezaji wanatoka wakitabasamu. Zmani ingekuwa kilio.

Sasa mpira umekuwa na washabiki na wafadhili wasanii. Wanatumia mpira kujipatia sifa tu hali wao hawana upenzi wowote na mpira. Matokeo yake wanaweza kuwa chanzo cha migogoro.

Uongozi wa mpira njaa tupu. Mtu anataka uongozi atafune hela za timu. Timu zenyewe zina fedha gani za maana? Tunatumia fedha chungu nzima kuajili makocha toka nje kisa ni wazungu.

Wachezaji wakin'gaa kidogo katika soka kosa. Ataanza kunata na kudeka kama nini. Ataanza kuendekeza starehe na anasa aambazo haziendani na mazoezi. Matokeo yake anachuja hada miaka 23 hajatimiza. Enzi za akina Amasha, Makumbi Juma, Mziba, Omari Hussein, Athumani Chama, Hamisi Kinye, Yusufu Ismail Bana, Fred Minziro watu walikuwa wanacheza soka ya kujituma. Walidumu katika mpira kwa muda mrefu.

Ushauri wangu

1. Tuwahamasishe watu kupenda soka toka wakiwa watoto. Turudishe michezo ya soka ya shule za misingi na sekondari pamoja na kuwa na timu za watoto wadogo katika kila club.
 
Back
Top Bottom