flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 533
- 586
Waungwana Hamjambo?
Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko.
Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na boldness of it. Pia nimeipenda walivoweka an update feed Kwa post a recent video of police force activities kama uapisho,ustaafu na sherehe mbali mbali ndani ya Jeshi. Pia huduma muhimu zimewekwa Kwa mazingira rahisi na kusomeka kwenye Tovuti yao.
Kwa progress hii naamini baadae wataongeza lost and found service, sehemu ya taarifa ya siri iwe na feedback ya mtoaji taarifa kuhusu taarifa yake pia kuwepo na sehemu ya Elimu kuhusu mambo mbali mbali ya kijamii.
Jeshi letu Lina uwezo mkubwa wa kuajiri content creator ambaye anaweza akaelimisha na kuchapisha habari kuhusu Maisha yetu ya kutanzania yanayotuzunguka kisaikolojia na filosofia zaidi.