please mwenye kujua website ya mlimani city shopping mall naomba anisaidie. nimejaribu ku search google lakini sijafanikiwa.
Asanteni.
hivi mlimani city ni mall?
Asante mkuu, nikitaka ku-rent space pale mlimani city naanzia wapi au natakiwa kumwona nani???
Yes,Mlimani city is the shopping mall Hashycool.
Mkuu hata ungekuwa States au Europe huwezi kuongelea suala la kurent space through website mkuu..,
Cheki hata business directory au kitabu cha simu tafuta contacts za hao jamaa alafu contact nao, ila kama upo dar hizi ni issue za kwenda pale, watakuwa na sales/marketing department ndio utaanzia hapo sasa website ulitaka utume email..., je utajibiwa lini ? haya mambo ni faster faster wewe nenda pale utaambiwa kama space ipo na ni shs ngapi Pili heading yako ungeomba contacts zao hawa jamaa huenda ungeshapata jibu.
He he wewe hujui kama kuna maduka 500+ humo~Mall hiyo!.kumbeeee.....mi nilijua ni shopping center flani tu hivi.....
He he wewe hujui kama kuna maduka 500+ humo~Mall hiyo!.
Khee Kheee KheeeeeHe he wewe hujui kama kuna maduka 500+ humo~Mall hiyo!.
Mkitaka kujua vizuri shopping malls nendeni south africa na nchi zinginezoYes,Mlimani city is the shopping mall Hashycool.
Na mimi nashangamaduka mangapi...? mia tano..... mmhhhh
Mkuu umenichekesha sana mkuu... kumbe kweli watu hatujuani kabisa..., am no politician mkuu kwanza ninaamini without politicians tungekuwa mbali sanaHa ha ha VOR bwana hadi huku waleta siasa!!!! asante lakini kwa ushauri wako, hebu check website za wenzetu wa hapo bondeni ucheck wanavyo simplify maisha through their informative websites:
Westgate Shopping Centre
Cresta Shopping Centre
Contact Details
Mkuu umenichekesha sana mkuu... kumbe kweli watu hatujuani kabisa..., am no politician mkuu kwanza ninaamini without politicians tungekuwa mbali sana
"Politicians are People who when they see the light at the end of the tunnel they go out and buy some more tunnel"
Anyway hizo site zina information nzuri mkuu lakini kwenye hizi bargaining inayoinvolve pesa nyingi na kuchagua location ya sehemu huwezi ukapuuza suala la kwenda pale mwenyewe, pale ndio unaweza ukapa options zaidi