Website ya mlimani city shopping mall

Website ya mlimani city shopping mall

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
please mwenye kujua website ya mlimani city shopping mall naomba anisaidie. nimejaribu ku search google lakini sijafanikiwa.

Asanteni.
 
nadhani kutakkuwa na ofisi za utawala pale pale wewe kama waenda pale ulizia wale guards watakupa maelezo mazuri zaidi,
Asante mkuu, nikitaka ku-rent space pale mlimani city naanzia wapi au natakiwa kumwona nani???
 
Mkuu hata ungekuwa States au Europe huwezi kuongelea suala la kurent space through website mkuu..,

Cheki hata business directory au kitabu cha simu tafuta contacts za hao jamaa alafu contact nao, ila kama upo dar hizi ni issue za kwenda pale, watakuwa na sales/marketing department ndio utaanzia hapo sasa website ulitaka utume email..., je utajibiwa lini ? haya mambo ni faster faster wewe nenda pale utaambiwa kama space ipo na ni shs ngapi Pili heading yako ungeomba contacts zao hawa jamaa huenda ungeshapata jibu.
 
Ha ha ha VOR bwana hadi huku waleta siasa!!!! asante lakini kwa ushauri wako, hebu check website za wenzetu wa hapo bondeni ucheck wanavyo simplify maisha through their informative websites:
Westgate Shopping Centre

Cresta Shopping Centre

Contact Details
 
Mkuu umenichekesha sana mkuu... kumbe kweli watu hatujuani kabisa..., am no politician mkuu kwanza ninaamini without politicians tungekuwa mbali sana

"Politicians are People who when they see the light at the end of the tunnel they go out and buy some more tunnel"

Anyway hizo site zina information nzuri mkuu lakini kwenye hizi bargaining inayoinvolve pesa nyingi na kuchagua location ya sehemu huwezi ukapuuza suala la kwenda pale mwenyewe, pale ndio unaweza ukapa options zaidi
 
Yeah nimekusoma mkuu, nitakwenda kuwaona jamaa. Kuna issue chache naweka sawa. Asante sana.
 
Mlimani City is not a mall

kwanza I havent been there for abt 2 months

bora niende zangu kkoo pale kuuza sura tu, everything is ****in expensive

nikitaka nguo naagiza majuu
 
Back
Top Bottom