Website ya NACTEVET (zamani NACTE) haifanyi kazi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tunajaribu kupata information toka NACTEVET with regard to the coming academic year, website haifunguki/haipo. Tusaidieni wahusika kuna nini?

Tunataka kujua matokeo ya mitihani ili wazazi tujiandae na ada etc etc etc.

We are in darkness.
 
Ofcoz na tena kama wengine wakiangalia status iko submitted wengine confirmed watoto hawaelewi kabisa
 
Inakujaga na kupotea , Kama jua.
Subiri kama wiki na siku tatu itazinduka tena
 
Back
Top Bottom