Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,720 Dec 28, 2011 #1 Sijui hawajui au anaewangalizia kajisahau.....site yao naona imepigwa pini kiaina.... Account Suspended Mwenye ukaribu nao awashtue ili wapenzi wao waendelee kuwafatilia kwa ukaribu
Sijui hawajui au anaewangalizia kajisahau.....site yao naona imepigwa pini kiaina.... Account Suspended Mwenye ukaribu nao awashtue ili wapenzi wao waendelee kuwafatilia kwa ukaribu
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Dec 28, 2011 #2 hawajalipia bandwith yao labda..
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,957 Reaction score 827 Dec 28, 2011 #3 we hacked it
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Dec 28, 2011 #4 Masanja hata blog yake anaupdate mara mbili kwa mwaka
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 536 Dec 28, 2011 #5 Kwani wanjua kuingia kwenye web yao?